July 21, 2015

 Baada ya kusogeza mbele zoezi la kuachia wimbo wake wa Manzese na Moro Town alioimba na Nay wa Mitego kutokana na msiba wa Mdau wa Media Tanzania Frank Sanga wa Moro, hatiamye mwanamuzki mdogo wa Hip Hop toka Morogoro Poison amekuletea hii ngoma yake mpya kabisa.


Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE