Kauli ya serikali kuhusu uvaaji vimini
Wizara ya mambo ya nje nchini imekanusha taarifa kwamba Rais John Magufuli amepiga marufuku uvaaji wa sketi fupi maarufu kama vimini.
Taarifa ya Wizara hiyo imesema: "Ni kweli kwamba Rais Magufuli na Serikali yake wanaunga m…Read More
Mos Def aapa kutorejea Afrika Kusini
Mos Def amezuiwa kuondoka Afrika Kusini kutokana na tatizo la cheti chake cha kusafiria
Mwanamuziki raia wa Marekani Mos Def ambaye pia anafahamika kama Yasiin Bey ameap…Read More
Joh Makini kuja na video za ‘Nikumbatie’ na ‘Kilimanjaro’
Msanii Joh Makini kutoka kundi la Weusi amesema anategemea kuja na video mbili za nyimbo zake za zamani, Kilimanjaro aliyomshirikisha Lady Jaydee na Nikumbatie aliyomshirikisha Fundi Samwel kwa kuwa anaamini nyimbo hizo zina…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment