July 08, 2015

 Mwanamuziki mdogo kabisaa wa Hip Hop toka mkoani Morogoro Poison, safari hii anakuja na ngoma yake mpya aliyoimba na Nay wa Mitego inayoitwa Manzese na Moro town. Wimbo huo umetaarishwa na maproducer wawili tofauti kutoka kwanza record ya mjini Morogoro Vennt Skillz na MR.T wa Free Nation Records za ya jijini Dar Es Salaam. Akiongea na blog hii mtayarishaji toka Kwanza Records Vennt amesema wameamua kufanya hivyo ili kureta ladha mbili tofauti za maproducer wawili, waimbaji wawili nastudio mbili za mikoa miwili tofauti. Wimbo huo unatazamiwa kutachiwa siku ya jumamosi ijayo katika radio zote ndani na nje ya Nchi.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE