August 23, 2015


Staa wa Bongo movie Batuli, leo amepatwa na ajali ya kuungulia nyumba yake kwa moto wakati akiwa kwenye miangaiko yake ya kila siku katika uzinduzi wa kampeni uliyofanyika Jana Jangwani Dar es salaam. 
Watu wengine wamehusisha swala hili na mambo ya chuki za kisiasa lakini me namshukuru Mungu hakuna aliyepoteza maisha wa kujeruhiwa katika ajali hii, ndani kulikuwa na mtoto wa ndugu yangu lakini jirani walivunja vioo na kumnusu lakini mali hakuna nilichookoa zaidi ya magari yangu tu"

Aliongezea kwakusema kwasasa yupo kwenye kikao kwaajili ya mipango ya kupata makazi mengine hapo kesho panapo majariwa

Related Posts:

  • Benki ya NMB Yazidua Rasmi Tawi la Sumbwanga Waziri mkuu mstaafu, Mh. Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Sumbawanga. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki mjini Sumbawanga. Kutoka kulia … Read More
  • New Audio: Harmonize ft Diamond Platnumz - Bado Kwa wale wapenzi wenzangu wa nyimbo za Audio, tumewawekea hapa Audio ya wimbo wa Harmonize ft Diamond wimbo unaitwa Bado Download hapa … Read More
  • Watu milioni 3 hawana chakula   Inakadiriwa kuwa watu milioni tatu nchini Zimbabwe wanakabiliwa na baa la njaa kufuatia ukame uliosababisha mifugo elfu 20,000 kufa. Takriban wanyama 20,000 wamekufa, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka maradu… Read More
  • Simba yamuadhibu Hassan Isihaka KAMATI ya Utendaji ya Klabu ya Simba imemsimamisha nahodha wake msaidizi Hassan Isihaka kuichezea klabu ya Simba kwa muda usiojulikana. Hatua hiyo imefikiwa baada ya beki  huyo kumtolea maneno yasiyo na staha k… Read More
  • Audio: Mash J - Nakopesha Mash J, Kutoka Morogoro, amekuja na wimbo wake huu mpya unaitwa nakopesjha. Wimbo umefanywa na producer Vennt Skilz katika studio za Kwanza Record za mjini Morogoro … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE