Magufuli awataja wanaochonganisha nchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,
ameweka wazi kuwa hatua inazopiga serikali kudhibiti uchumi, waliokuwa
na tabia za kutuibia ra…Read More
TANESCO wametoa sababu za umeme kutika leo
Leo April 12, 2018 Shirika la Umeme nchini, TANESCO
limetangaza kukosekana umeme katika maeneo mengi nchini kutokana na
hitilafu iliyosababishwa na radi kupiga mifumo ya usambazaji wa umeme
katika gridi y…Read More
Official video: Bora Nife - Aslay X Bahati
Mwanamuziki Aslay kutoka nchini tanzania, amevuka mipaka mpaka kufikia code ya +254 namaanisha nchi jirani ya Kenya na kukutana na mwanamuziki Bahati na kufanya huu wimbo wa Bora Nife.
…Read More
Mtoto wa Lowassa amshangaa mwanamke anayedai ndugu yao
Na Mwandishi wa Mtanzania, Dar es Salaam
Mtoto mkubwa wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Fred Lowassa,
ameshangaa mwanamke aliyejitokeza na kudai kuwa ni binti wa mwanasiasa
huyo.
Aidha, amemtaka Mkuu w…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment