September 03, 2015

Image copyrightGettyImage captionMtu aliyenusurika ebola

Shirika la afya duniani WHO, limetangaza kwua taifa la Liberia, limefanikiwa kutokomeza Ugonjwa wa Ebola kwa mara ya pili.

Mei mwaka huu shirika hilo lilikuwa limetoa tangazo kama hilo, lakini mwezi mmoja baadaye, mtu mmoja alipatikana na virusi vya ugonjwa huo.

Shirika hilo limesema wataendelea kufanya ukaguzi wa hali ya juu kwa siku tisini nchini humo, ili kuhakikisha kuwa ugonjwa huo hautatokea tena.

Mataifa jirani ya Guinea na Sierra Leona yangali yanaandisha idadi ndogo ya watu wanaoambukizwa ugonjwa huo.

Related Posts:

  • MIILI 40 YAOPOLEWA BAHARINI    Sala za kuwaombea waliokuwa wasafiri katika ndege hiyo zinaendelea Kufuatia kupotea kwa ndege ya shirika la ndege la Asia ndege namba QZ8501At ,miili arobaini imeopolewa kutoka … Read More
  • UNDANI WA MAHABUSU ALIYEUAWA LEO KISUTU JESHI la Magereza limefanikiwa kumdhibiti Mahabusu  wa Kesi ya dawa za kulevya ambaye ni Raia wa Sieralioni,  Abdul Koroma (33) asitoroke chini ya Ulinzi wa Askari Magereza ndani  Mahakama ya Hakimu … Read More
  • NDOTO 7 ZA SHEKH SHARIF KUHUSU 2015 ZA WASHTUA WENGI Sheikh Shariff Matongo  akizungumza leo na waandishi wa habari ofisini kwake  jijini Dar es Salaam(hawapo pichani)kuhusu  ndoto yake ambayo ameoteshwa kuelekea mwaka 2015. Sheikh Sharif Matongo amesema … Read More
  • MVUA KUBWA YANYESHA NA KULETA ATHARI MOROGORO   Gari ya TANAPA ilivyozama leo hii baada ya mvua kubwa kunyesha mkoani Morogoro  Leo hii mkoani Morogoro mvua kubwa ilinyesha na kuleta athari ya uharibifu wa mali mbalimbali,  Mvua hiyo iliyonyesha kwa … Read More
  • MTOTO WA MIAKA MINNE ATEKWA Kamanda wa polisi mkoani Mwanza Valentino Mlowola Nchini Tanzania katika Kijiji cha Ndami, tarafa ya Mwamashimba wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza watu wasiofahamika wamevunja ny… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE