September 06, 2015

 Mchakamchaka wa kampeni za uraisi zikizidi kupamba moto, leo hii Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CCM Ndugu John Makufuli ametia tim Manispaa ya Morogoro.
 Akiwahutubia maelfu waliofurika katika uwanja wa Jamhuri, Ndugu Magufuli ameahidi kushughulikia tatizo la ajira kwa kuhakikisha anafufua viwanda vilivyokufa ili kuhakikisha wakazi wa Morogoro wanapata ajira.
  Aidha Mh: Magufuli maarufu tingatinga, amewema katika uongozi wake atahakikisha anawashughilikia wala rushwa hasa mapapa ya rushwa ili kuhakikisha anaiweka Tanzania yenye usawa.
 Mgombea Ubunge Morogoro Mjini ndugu Azizi Abood
 Mzee yusuph makmba


 Sehemu ya wakazi wa Morogoro

 Rais Jakaya Kikwete

 


 Ndugu John Magufuli
 Mwenyekiti wa Wilaya ya Morogoro Innocennt Karogeres

Maelfu ya wakazi wakimsikiliza Magufuli 

Nukuu:
Mzee Makamba "Lowassa alitaka kuondoka CCM tangu 1995, Nikamsihi, alishakataliwa kutokana na ufisadi wake. Namuomba kwenye mdahalo, tuliushangaa utajiri wake akiwa mdogo, Hatufai"

Innocent -" TunakuombMagufuli ukawafunge mafisadi na waliopora ardhi"

Kikwete- " Magufuli anatosha"

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE