Baada ya Rais mteule wa Tanzania, Dr. John Magufuli na Makamu wake Mama Samia Suluhu Hassan kukabidhiwa cheti na Tume ya Uchaguzi NEC, safari ilianza toka Ukumbi wa Diamond Jubilee Upanga mpaka Ofisi za CCM mtaa wa Lumumba Dar ambapo wanaCCM na viongozi wengine walikusanyika.
Video yake kwenye kile alichokisema kwenye Jukwaa la CCM mtaa wa Lumumba hiki hapa
SPIKA ZUNGU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA EU
-
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu,
amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Mabalozi wa Nchi Wanachama wa
Umo...
1 hour ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment