Nitaomba mnisamehe sana, inawezekana sherehe ya leo isiwe nzuri kama mlivyozoea, hakuna bia… inawezekana kama kuna chupa za wine ni chache, mengi ni mani na soda.”Nilipoambiwa kwamba zimechangwa shilingi milioni 250 kwa ajili ya sherehe, nikasema fedha hizo zipelekwe katika hospitali ya Taifa Muhimbili zikasaidie kununua vitanda Tazama hiyo video
HIKI NDICHO KILICHOSABABISHA KASEJA KUACHWA YANGA
Leo jioni, Klabu
ya Yanga imetangaza rasmi kuachana na Golikipa wake Juma Kaseja kuanzia
leo baada ya kuwepo kwa hali ya kutoelewana baina ya kipa huyo na
uongozi wa klabu. Mkuu wa Idara ya Habari na Mawa…Read More
MAGARI YENYE PICHA YA RAIS YAKAMATWA
Licha ya rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta kuruhusu magari yanayobeba abiria nchini Kenya kuchorwa ama
hata kupaka rangi yoyote ile,mabasi mawili yaliochorwa picha yake
yamekamatwa na maafisa wa polisi mjini Mombasa Kenya.…Read More
TANZANIA YAANZA MAZUNGUMZO NA KENYA KUHUSU SAKATA LA MAGARI
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki nchini Tanzania imeanza mazungumzo na serikali ya Kenya kuhusiana na sakata la magari ya
Tanzania kuzuiliwa kuingia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo
Kenyatta jijini…Read More
WANNE WAFA AJALINI IRINGA
Muonekano wa lori lenye namba
za usajili T122 ALW baada ya kugongana na basi la Fanuel Express yenye
namba za usajili T919 DCD katika Kijiji cha Ibetelo eneo la Nyororo,
wilayani Mufindi mkoani Iringa…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment