December 19, 2015

Displaying vlcsnap-2015-12-18-22h56m47s244~1.png

Msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa home Tz maarufu kwa jina la Best Nasso aliyewahi kutamba na ngoma zake kama, Nirudi kijijini, Maisha Ni
 Utata, Fahari, khadija, n.k ameachia video mpya ya wimbo wake ambao
 unaitwa ‘Rumba’ Directed by Kenny Ukiyz


  Tumia dakika zako kadhaa kuitazama hii video hapa>>
   

Related Posts:

  • TCRA-yashukia makampuni ya simu Katika shughuili zake za udhibiti wa huduma za mawasiliano nchini, Mamlaka ya Mawasilaino Tanzania imepokea malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano dhidi ya kuwepo mazingira yasiyo salama katika huduma za m… Read More
  • Kamanda Suleiman Kova astaafu rasmi Leo December 31 ni siku ya mwisho kwa mwaka ,lakini pia ni siku ya mwisho kwa Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova, kulitumikia jeshi la Polisi nchini kwa kuwa muda wake wa kulifanyia kazi jeshi hilo umeish… Read More
  • Rais Magufuli afanya uteuzi wa makatibu wakuu Rais wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Makatibu wakuu na Manaibu Katibu wakuu wa wizara mbalimbali. Aidha, Rais Magufuli pia amemteua Eliakimu Maswi kuwa Kaimu Naibu Kamishna wa … Read More
  • Samatta:Nguvu ya mashabiki ilinipeleka TP Mazembe Rais wa TP Mazembe Moise Katumbi (katikati) akiwa kazungukwa na kundi kubwa la mashabiki wa timu hiyo Tunaendelea na ‘Safari Ndefu ya Mbwana Samatta kutoka Mbagala kwenda Ulaya’ jana tuliangalia namna ambavyo Samatta… Read More
  • Lipumba: "Nani atasimamia uchaguzi wa Zanzibar kama ZEC walishindwa"? Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi- CUF, Prof. Ibrahim Haluna Lipumba leo hii ameongea na vyombo vya habari na kuhuji juu ya uchaguzi wa Zanziba.  Taarifa kamili hii hapa chini MSAADA WA MAREKANI NA UCHAG… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE