

Lile tamasha limaloamdaliwa na kipindi cha XXL cha Clouds Fm lijulikanalo kama After Skul Bash linaendelea muda huu pale Ascape one Mikocheni jiji Dar Es Salaam jilani na kilipo kituo cha Clouds Fm Radio.
Kuna vitu vingi vinaendelea pale katika shangwe hizi za kila mwaka. Una hakli ya kujua kuna kipi kinafanyaika. Haya ni baadhi ya matukio machache kati ya mengi yanayoendelea


Kutoka #BackStage ya #AfterSkulBash@adamchomvu @ruby_na_yule @bdozen @billnass



0 MAONI YAKO:
Post a Comment