December 31, 2015

jukwaa

Matayarisho yakiendelea kwenye fukwe za Escape 1 kwa ajili ya kusema ‪#‎Ahsante2015‬ na kuukaribisha mwaka 2016, njoo tusherekehe pamoja kwa mtonyo wa 10,000 tu, huku tukipata burudani kibao kutoka Wanamuziki wa Bongo flava na kufyatua mafataki, ukiburudishwa na Ruby, Kassim, Alice, Baraka da prince, Madee, Mr blue, Chemical, Stosh, Mo Music, Malaika, Shilole, Galaxy, Maua Sama , Maeda, Sulii nk.
fataki

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE