Video mpya ya mkali wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz Dangote ya utanipenda, imeonekana kuwa gumzo mtaani kufuatia ubora wa video hiyo na ujuio huu mpya wa Diamond.
Wanafunzi Shule ya Sekondari Chalinze wanusurika kifo
Mbunge
wa jimbo la Chalinze mkoa wa Pwani Ridhiwani Kikwete alipokwenda jana
kutembelea shule ya sekondari Chalinze baada ya bweni la wanafunzi wa
kiume kuungua kutokana na shoti ya umeme. (Picha na Mwamvua Mwinyi)
…Read More
Baby Madaha kuja na Corazon
Msanii
wa muziki na mwigizaji, Baby Joseph Madaha, ‘Baby Madaha’ baada ya
ukimya wa muda mrefu amejipanga kuachia wimbo wake mpya ‘Corazon’.
Madaha
amesema kwa sasa anamalizia video ya wimbo huo ambao picha zake
…Read More
Karibu katika Magazeti ya leo Jumatatu April 18
Habari za leo hii jumatatu ya 18 April 2016. Karibu mpendwa katika kurasa za magazetini leo hii. Tumekuwekea kurasa zilizobeba uzito katika magazeti ya leo jhii. Kupata habari kwa undani fika katika meza za …Read More
DIWANI WA KATA YA MSHANGANO AJIUZULU
-
Diwani wa Kata ya Mshangano ,Samuel Mbano akionesha barua ya kujiuzulu
Diwani wa Kata ya Mshangano ,Samuel Mbano aliyejiuzulu kupitia Chama Cha
Mapind...
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment