Alhamisi ya 28 january, Mwanamuziki toka nchini Nigeria Yemi Alade atakuwa na interview na Diva the bawse ndani ya Ala za Roho ya Clouds Fm kuanzia saa nne usiku. Sasa ili kukuweka karibu na Interview hiyo, Yemi Alade amekuletea video yake hii aliyoimba kwa Lugha ya Kiswahili
NDOTO MBAYA ZAFIKIA MWISHO: AMOS ASIMULIA MASAIBU YAKE
-
Kwa miaka mingi, maisha yangu, Amos, mwanakijiji wa makamo kutoka Kijiji
kidogo cha Sokoine, yalikosa amani. Sikuwa mgonjwa kimwili, lakini ndani ya
roh...
5 hours ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment