January 27, 2016


 
Kivuko cha mto Kilombero kimezama kikiwa na idadi kubwa ya watu na mizigo. Idadi ya waliookolewa mpaka sasa yafikia 11. Taarifa kamili tutawaletea

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE