January 28, 2016

                      

Kampuni ya muziki ya Sony imethibitisha kuwa kwa sasa wanafanya kazi za Mnigeria Davido.

Sean Watson, Managing Director wa Sony Music Entertainment Africa amesema “Kufanya kazi n kipaji kama Davido ni era mpya ya Sony Music Entertainment Africa na tumefurahia kungana mkono kwenye kazi na Davido na tutahakikisha tunafanikisha malengo yake kwneye muziki.”

Adam Granite, President waSony Music, Northern & Eastern Europe na Africa amesema “Tunafuraha ya kumkaribisha Davido kwenye familia ya Sony Music,tutamtambulisha msanii mkubwa Africa kwa dunia nzima, tumefurahi kufanya kazi na Kamal Ajiboye meneja wa Davido, Efe Ogbeni, atakaye tayarisha album hii kwa niaba yetu“.

Wiki iliyopita Davido aliingia mkataba na SONY MUSIC unaotegemea kumlipa zaidi ya dola milioni moja.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE