
Kama ulipitwa na kipindi hiki, mtangazaji mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni katika kipindi cha mahusiano cha Ala za roho cha clouds Fm, Diva Gissele Malinzi @Divathebawse amefunguka kila kitu alichokuwa anahusishwa nacho.
Unajuwa kwamba diva ni mtoto wa Malinzi? bofya hapa chini uweze kutazama interview nzima ya Mkasi inayomuhusu Diva
0 MAONI YAKO:
Post a Comment