Habari zilizotufikia hivi punde tu zinasema kwamba askari 3 wamefariki dunia huku wengine 3 wawili wakiwa majeruhi na hali zao ni mbaya baada ya kupata ajali mbaya iliyosababishwa na tairi la gari yao iliyokuwa katika msafara wa viongozi wa CCM mkoani Singida kupasuka na kupinduka katika eneo la Mkiwa, wilayani Ikungi.
Mwenyezi Mungu apokee roho zao hao MAREHEMU na awape nafuu ya haraka MAJERUHI.
Source: jamii forum
TUFUATE TARATIBU ILI KUDUMISHA AMANI YETU- MALECHA
-
Na Mwandishi wetu, Dar
Khalid Malecha, Mkazi wa Kitonga Jijini Dar Es Salaam, ameeleza kuwa maelfu
ya wananchi waliathirika moja kwa moja na ghasia na m...
1 hour ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment