Waziri mkuu mstaafu, Mh. Mizengo
Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Sumbawanga.
Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki mjini Sumbawanga. Kutoka kulia
ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Said Magalula, Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa
NMB, Richard Makungwa (wa tatu kulia), Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za
Juu, Lucresia Makirie wakishuhudia uzinduzi huo.
Waziri mkuu mstaafu Mhe.Mizengo Pinda
akiweka alama ya dole gumba alipokua akifungua akaunti ya NMB wakati wa
uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Sumbawanga. Hafla hiyo ya uzinduzi wa
tawi la NMB Sumbawanga ulifanyika mwishoni mwa wiki mjini Sumbawanga.
Kulia ni Afisa Mkuu wa wateja wakubwa wa NMB, Richard Makungwa
akishuhudia. Tawi la NMB sumbawanga linakuwa tawi la 3 kwa mkoa wa Rukwa
na la 176 nchini.
Waziri mkuu mstaafu Mhe.Mizengo Pinda
akifungua pazia la jiwe la msingi na hivyo kuashiria uzinduzi rasmi wa
tawi la NMB Sumbawanga. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki mjini
Sumbawanga. Kulia ni Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa NMB, Richard
Makungwa na kushoto ni Mkuu wa Mkoa Rukwa Said Mgalula akishuhudia. Tawi
la NMB Sumbawanga linakuwa la 3 kwa mkoa wa Rukwa na la 176 nchini na
hivyo kuifanya NMB kuwa na mtandao mpana zaidi wa matawi kuliko benki
yoyote ha
0 MAONI YAKO:
Post a Comment