February 02, 2016

                        
Kocha wa sasa wa klabu ya Inter millan ya nchini Italia Robert Mancini, amefungiwa mchezo mmoja kutokiongoza kikosi hicho baada ya kuonyesha vitendo vilivyoashiria kutoendana na nidhamu ya mchezo wa soka wakati wa mchezo dhidim ya Ac milani ambapo kikosi chake kililala kwa bao 3-0.

Kwa mujibu wa mahakama nidhamuya Seria A Mancini amefikia adhabu hiyi baada ya kuonesha vitendo vya dharau kwa kamisaa wa mchezo huo na baada ya kuondolewa inadaiwa kuwa Mancini kwa kumuonesha vitendo visivyokuwa vya kindhamu.

Macini ambae poia kocha wa zamani wa klabu ya Manchester City amepata adhabu  hiyo baada ya mwamuzi wamtangae kukataa penmnati ambayo ilisababishwa na mlinda mlango wa Ac Millan alipomchezea rafu mshambuliaji Eder.

Pia mahakama hiyo imemtoza kiasi cha pauni 3,782 kocha Robert Mancini mwnye miaka 51 ambayo sasa itamradhimu kukaa jukwaani wakati wa mechi yao ijayo dhidi ya klabu ya Chievo.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE