February 16, 2016

                       

Kupitia akaunti yake Instagram mchumba wa sasa wa mwanadada Wema Sepetu ambaye pia ni mshindi wa Big brother Africa,Idris Sultan amepost picha ya watoto wawili na kuandika waraka unaoashiria kuwa ndoto ya Wema kuwa mama imepotea.

Idiris amepost maneno yafuatayo.

“To my unborn twins,
.So quickly you came into our lives,
So quickly torn away. 
Never got the chance to meet you,
There’s so much I want to say. All these thoughts running through my head,
It’s enough to drive me insane.
Though you lived only six short weeks,
You were loved so very much. 
I wish that I could hold you,
I long to feel your touch. I pray that in another life, We get the chance to meet. God brings and takes as he plans and we cannot complain but only pray that all that was for a better reason and a better plan in store for us. We have learnt lessons painfully but wont stop trying again and again and do swear by the time your brothers and sisters are made to come to this world we will be more than ready for them.
Sincerely Your Dad. 
                  
akimaanisha kuwa mimba ya mpenzi wake iliyodumu kwa wiki sita huku wakitarajia mapacha haipo tena.

                    

Related Posts:

  • Brand New Song: Zombie President - R I P Ngwair   Mwanamuziki na Mtangazaji Maarufu kutoka mkoani Morogoro MC Calvin Maarufu Zombie President, ameachia wimbo wake mpya kabisa uitwao R I P Ngwair. Wimbo wa R I P Ngwair ni wimbo unaoonesha mapenzi ya wazi kabisa k… Read More
  • Klabu Bingwa Afrika,Yanga yasonga mbele   Klabu ya YANGA imefuzu hatua ya pili ya Klabu Bingwa Afrika baada ya ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Towship Rollers ya Botswana. Bao la Yanga SC limefungwa na Juma Balinya ka… Read More
  • Kombe la Shirikisho Afrika, Azam kanyaga twende   Klabu ya Azam imefuzu hatua ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Chamazi Complex, Dar es Salaam. Mabao ya Az… Read More
  • Never Forget Moro - Hoodbangerz Kufuatia tukio la ajali ya Moto uliosababishwa na Roli la Mafuta na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 75 mkoani Morogoro, tukio lililotokea 10 August 2019 siku ya Jumamosi katika eneo la Msamvu, wasanii wa Hood Bangerz … Read More
  • Audio: Simanzi - CN Record Huu hapa ni wimbo mwingine wa Maombolezo kufuatia ajali ya Roli la Mafuta Msamvu Morogoro iliyopoteza uhai wa zaidi ya watu 75 … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE