Mwili wa msanii wa Bongo Fleva,Michael Mhina’John Wolker’ aliyefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya taifa ya Muhimbili baada ya kulipukiwa na gesi unatarajiwa kusafirishwa kesho kuelekea kwao mkoani Tanga.
Kaka wa marehemu aitwaye Omar amezungumza na Clouds Fm,kuzungumzia mazishi ya msanii huyo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment