February 24, 2016

 
Wimbo wa shika Adabu yako wa Nay wa Mitego ni moja ya nyimbo kubwa sana kwa sasa ndani na nje ya Tanzania. Licha ya BASATA kutoa kauli ya kuufungia wimbo huwo lakini sehemu kubwa ya burudani wimbo huwo unachezwa. Kuona kais ya wimbo huwo kuwa kubwa, mwanamuziki Nay wa Mitego anakuletea Video ya wimbo huwo na hii ni shehemu ya maandalizi

                        

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE