Magazeti ya leo january12 ya 2016 yanasema hivi
Karibu mpenzi mwana familia wa ubalozini.blogspot.com . Leo ikiwa ni jumanne ya January 12 ,2016 ikiwa ni siku ya mapinduzi ya Zanzibar, tumekukusanyia vichwa vya habari za magazetini kama yalivyotufikia.
…Read More
CUF yapinga marudio ya uchaguzi Zanzibar
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema hakitakubali marudio ya uchaguzi wa urais visiwani Zanzibar.
Chama hicho kupitia taarifa kwa wanahabari kimesema hakuna “hoja wala msingi wa kikatiba na kisheria wa uchaguzi kurudiwa&#…Read More
Askofu afukuzwa kazi kwa ubadhirifu
Zaidi ya wachungaji hamsini wa kanisa la Anglikana Tanzania dayosisi ya Victoria Nyanza (DVN) wametangaza kumfukuza kazi ya uaskofu, askofu Bonifasi Kwangu wa dayosisi hiyo kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na ubadhi…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment