Album mpya ya Yemi Alade “Mama Africa” yenye wimbo kama “Na Gode”, “Do As I Do” na “Ferrari” imetajwa kuwa album inayosubiriwa zaidi Afrika kwneye mtandao wa iTunes unaouza muziki wa sehemu tofauti duniani.
Yemi Alade alitangaza habari hii nzuri kuhusu album yake yenye wasanii kama P-Square, Sarkodie, DJ Arafat, Selebobo, Sauti Sol na Rotimi Keys
0 MAONI YAKO:
Post a Comment