March 14, 2016

         


Mwanamuziki wa bongo flava kutoka mkoani Morogoro Criss Wamarya ametuma salam za pongezi kwa mkuu mpya wa mkoa wa Dar es salaamPoul Makonda  kufuatia kuteuliwa katika nafasi hiyo. 

Kuupitia ukurasa wake wa Instagram @crisswamarya  amemp[ongeza bwana Makonda kwa kuandika maneno haya:


"Mshindani akati tamaa ila kiongozi sahihi uchaguliwa na kupewa nafsi sahihi,Hongera Sana My brother @paulmakonda kuwa mkuu wa mkoa dar es Salaam kwani umestaili sana kuwa kiongozi wa dar,kwani umepambana sana. @paulmakonda "

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE