March 05, 2016

                        

Yoyote ambae anaufuatilia muziki waKanye West akikutana nae hawezi kuacha kupiga nae picha. Diamond alisafiri kuelekea Marekani Las Vegas kwa ajili ya kufanya  show, ambapo kwenye maelezo ya hii picha, ilionekana wakati huo alikuwa Los Angeles.

                       

Kwa ninavyo fahamu Diamond anakuwa mtanzania mwingine, aliyepiga picha naKanye West, ambapo Vanessa Mdeeamewahi kukutana na Kanye West na kuongea nae.

                       

Hapa ni Vanessa Mdee kulia alipokutana naKanye West

Source: Millardayo.com

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE