Habari za asubuhi ndugu mpenzi msomaji wa Blog hii. Tunakupa fursa ya kupitia habari zilizoandikwa katika magazeti ya leo yaJumatato 21 march 2016 . Habrai kubwa kabisa ni kuhusu uchaguzi wa marudio katika visiwa vya Zanzibar.
Fahamu kuhusu ujio wa SportPesa Tanzania
Waswahili husema Leo ndio leo na asie na mwana aeleke jiwe. Siku
muhimu kabisa iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wana
familia wa soka nchini hatimae imewadia.
Kampuni mpya ya kubashiri michezo …Read More
Mtoto Mussa Mhina azikwa Tanga
Waombolezaji wakisindikiza mwili wa mwanafunzi Mussa Mhina (14) ambae ni
mkazi wa Handeni aliyefariki juzi kwenye ajali ya gari wilayani Karatu
mkoani Arusha,wananchi wengi wamejitokeza kwenye maziko hayo licha ya
kuwe…Read More
Viongozi wakuu wa Uturuki wakutana na rais Trump
Ujumbe wa viongozi wa Uturuki wakutana na rais Donald Trump kwa muda mfupi
Ujumbe wa viongozi wakuu wanaoongozwa na
jenerali mkuu wa jeshi la Uturuki Hulusi Akar ulikutana na rais wa
Marekani kwa muda mfupi Jumat…Read More
Hawa ndiyo wasanii wanaoingiza pesa nyingi Afrika
Jarida la Forbes Africa la mwezi May 2017 limeandaa list ya wasanii 10 wanaoingiza pesa nyingi zaidi Africa.
List hiyo ambayo inaongozwa na msanii wa Nigeria, Akon
na nafasi ya pili ikichuku…Read More
Miaka 25 jela kwa kiongozi wa Muslim Brotherhood nchini Misri
Mahakama moja nchini Misri yatoa hukumu ya miaka 25 gerezani kwa
kiongozi mkuu wa chama cha Muslim Brotherhood siku ya Jumatatu .
Wakati huo huo pia mahakama hiyo ilitoa hukumu sawia kwa viongozi wengine wawili wa…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment