“Juma alikuwa anacheza sana mpira..yaani kwenye muziki alikuja baada ya kucheza mpira,hata mimi nilikuwa nategemea atakuwa mchezaji mpira,kwa sababu alikuwa anaujua kweli” alisema Fella.
Fella ameongezea kuwa baada ya yeye kurudi Afrika Kusini ndio akakuta Nature ameshaanza kurekodi kwa P Funk na kukaa nae chini na kuongea na P Funk ili afanye naye kazi.
Source: Sporah Show
0 MAONI YAKO:
Post a Comment