March 14, 2016

                     
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel akimkaribisha Waziri wa wizara hiyo Nape Nnauye kufungua kikao cha maafisa habari kilichoanza leo mkoani Morogoro.

                      
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akifungua kikao cha maafisa habari kinachofanyika Morogoro.Kikao hicho kinafanyika kuanzia tar 14-18 Machi katika viwanja vya VETA.

                       
Mkurugenzi Mkuu Idara ya Habari-MAELEZO akizungumza jambo katika kikao cha maafisa Habari kilichofunguliwa leo Morogoro Mjini katika viwanja vya VETA.

                      
Mwenyekiti wa chama cha maafisa mawasiliano Serikalini(TAGCO) Innocent Mungi akimwomba Waziri Nape kuwa mlezi mzuri wa maafisa habari katika kipindichake cha uongozi na kutosita kuwaeleza ukweli pale wanapokosea.

                      
Maafisa Habari kutoka sehemu mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja na waziri wa Habari,utamaduni,sanaa na michezo Mhe.Nape Nnauye mara baada ya kufungua kikao hicho leo morogoro mjini.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE