March 16, 2016


 

Zikiwa zimebakia siku chache kuingia katika zoezi la uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar, uchaguzi ambao umesusiwa na chama cha wananchi CUF, Katibu mkuu wa chama hicho maali Seif sharif Hamad amezungumza maneno haya kwa wazanzibar na wafuasi wa chama cha wananchi CUF

                     

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE