March 16, 2016

                   

Mwanamuziki  Mariah Carey wanatarajia kufunga ndoa na  billionaire James Packer,ndoa hiyo ambayo itakuwa ni siri inatarajiwa kuhudhuriwa na watu hamsini tu,na inatarajiwa kufungwa katika visiwa vya  Barbuda huko Caribbean.

Kwamujibu wa mtu wa karibu wa wapenzi ameiambia Tmz kuwa Mariah's ameamua kufunga ndoa hiyo katika kipindi cha joto katika visiwa hivyo .

Mariah Carey kuwaalika wageni wachache ambao watasafiri kwa kutumia private jets.

Tayari mwanamuziki ameshaarisha tour yake ambayo alitarajiwa kuifanya  barani Ulaya,ili aweze kupata nafasi ya kumalizia maandalizi ya harusi yake hiyo...

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE