Mchezaji wa kimataifa toka nchini Tanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya Genk nchini Ubelgiji Mbwana Samatta, leo hii nyota yake imezidi kung'aa baada ya kuifunguliia njia timu yake kwa kuipatia goli la kwanza na kuipa ushindi wa goli 4
Magoli ya KRC Genk yalifungwa
na Mbwana Samatta dakika ya 25, Balley dakika ya 39, Pozuelo dakika ya
81 na Camargo dakika ya 88, wakati goli la kufutia machozi kwa KV
Oostende lilifungwa na Siani dakika ya 90.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment