Jumamosi ya March 12 Clouds Media Group
Wamefanya Sherehe ya kukabidhi Tuzo kwa Malkia wa nguvu,ambaye ni
mwanamke aliyetumia fursa zinazomzunguka na kupiga hatua ikiwa ni pamoja
kusaidia jamii.
Sherehe hizo za kuhitimisha kampeni hiyo zimefanyika kwenye Ukumbi wa LAPF Kijitonyama Jijini Dar es salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Spika mstaafu wa Bunge la kumi Mh. Anna Makinda akisindikizwa na mkuu wa Wilaya ya kinondoni Paul Makonda.
Tuzo zilizotolewa
Miss Tanzania 2015-2016, Lilian
Mc PiliPili
Msanii Nikki wa Pili
Katikati ni Msanii Maua Sama Kushoto ni Msanii Dayna Nyange
Mkurugenzi Mkuu wa vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group- Ruge Mutahaba
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda
Mh. Anne Makinda (Spika Mstaafu)
Picha ya washindi wa tuzo, waandaaji na Mgeni rasmi
Msanii Linah na Mh Anne Makinda
Mkuu wa vipindi na Maudhui Clouds Media Sebastian Maganga

Mgeni rasmi, Spika wa Bunge Mstaafu, Mama Anne Makinda akimkabidhi tuzo, Doris Mollel kutoka Doris Mollel Foundation
Source: Millardayo.com na mtembezi.com
0 MAONI YAKO:
Post a Comment