Rais wa Marekani Barack Obama ameanza ziara ya kihistoria nchini Cuba,
akiwa ndiye rais wa kwanza wa Marekani kuzuru taifa hilo katika kipindi
cha miaka 88.
TUFUATE TARATIBU ILI KUDUMISHA AMANI YETU- MALECHA
-
Na Mwandishi wetu, Dar
Khalid Malecha, Mkazi wa Kitonga Jijini Dar Es Salaam, ameeleza kuwa maelfu
ya wananchi waliathirika moja kwa moja na ghasia na m...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment