April 26, 2016



 

Hatimaye chama cha ACT Wazalendo kimepata kaimu katibu mkuu baada ya Katibu wake mkuu ndugu Samson Mwigamba kujihuidhulu nafasi hiyo na kwenda masomoni. 

Mama Anna Mgjhwira katika ukurasa wake wa Facebook anaandika hivi kwa kumpongeza kaimi katibu mkuu huyo mpya
 
 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE