
Baada ya Audio ya wimbo huu kuendelea kufanya poa kila kona, hatimaye Galatone ameamua kukata kiu ya mashabiki wake waliokuwa wakihitaji video ya wimbo wa samakio kwa muda mrefu.
Video hiyo imefanywa na DR. Msafiri Shabani kutoka katika stuo za Kwetu Studio
0 MAONI YAKO:
Post a Comment