

Ni video ambayo single yake ilirekodiwa toka June 2014 Johannesburg South Afrika kwenye studio ya Oskido ambaye ni mmoja wa malegend wa muziki Afrika Kusini,Wimbo huu ni kati ya nyimbo zilizokuwa zikisubiliwa kwa hamu kubwa sana kwa mashabiki wa muziki hapa Tanzania na Afrika kwa jumla.
Muda wako ni huu na wimbo wako ni huu hapa,Bofya jhapa chini kuitazama Video hiyo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment