April 07, 2016


Wimbo wa mWana Dada Dayna Nyange wa Angejua ni moja ya nyimbo zinazofanya poa sana kwa sasa na ni nyimbo zinzzokubalika sana.  Mwanamuziki Fresh Andy ameamua kuurudi wimbo huo, huku akidai kwamba ni wimbo ambao anaoukubali sana kwa sasa kuliko nyimbo zote zilizotoka
                 

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE