April 12, 2016





Vanessa Mdee na Idris sultan wameongezeka kwenye orodha ya mastaa wachache Afrika ambao akaunti zao za  mtandao wa kijamii wa Instagram zimekuwa ‘Verified’
vee11

“We live in a world of blue ticks and purple hearts 💜 #Niroge” Vanessa Ameandika kwenye Instagram yake.

Akaunti zao zimekuwa verified na kuwekewa kitiki cha blue kuonesha kuwa ni akaunti halali.
iddy
“This is to all my beautiful fans 😎😎😎🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #WataelewaTu#MeAmBiziii #HollywoodISeeYou#HuuMchezoHautakiHasira” Idris ameandika kwenye Instagram yake.
Vee na Idris wameungana na Flaviana Matata na Diamond Platnumz kwenye orodha ya mastaa wachache ambao akaunti zao za Instagram zimukuwa Verfied.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE