Kufuatia Rais Magufuli kuondoa shamrashamra za Sherehe za siku ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kumekuwapo na mitazamo mbalimbali toka kwa wana siasa na watanzania kwa jumla. Huu hapa ni mtazamo wa Kitila mkumbo Muhadhili wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam na pia mwana siasa toka katika chama cha ACT Wazalendo
MGEGO: MTUMISHI MWEMA HURUDISHA MATOKEO KWA WANANCHI, TUMUUNGE MKONO RAIS
SAMIA
-
Katibu wa Wilaya wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Ruvuma James Mgego
akizungumza na wananchi wa kata ya Bombambili leo June 19 2025 wakati wa
usomaji wa ...
1 hour ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment