
Inaweza
ikawa mara ya kwanza kusikia neno”Socialite”,au pengine umeshawahi
kusikia mtu akizielezea sifa za mtu kwa kumuita “Socialite person”,ila
kwa kifupi “Socialite” ni neno la kingereza linalomwelezea mtu mwenye
sifa nyingi ila baadhi ya sifa hizo ni pamoja na kuzungumziwa kwenye
vyombo habari mara kwa mara,nguvu ya fedha,kuonekana kwenye matamasha na
event mbalimbali za burudani,kujihusisha na masuala ya kijamii ect.
Kwa kuzingatia sifa hizo hii hapa ni top ten socialite girls wanazungumziwa na kuandamwa zaidi na vyombo vya habari Afrika mashariki.
Kwa kuzingatia sifa hizo hii hapa ni top ten socialite girls wanazungumziwa na kuandamwa zaidi na vyombo vya habari Afrika mashariki.
10.HAMISA MABETO.
Mrembo huyu ni mwanamitindo aliejipatia umaarufu kwa muda mfupi kwa kuonekana kwenye video kadhaa za mastaa wa bongo fleva kama “Your Mine” ya mwanamuziki Quick Racka na kupelekea watu wengi hasa magazeti ya udaku kumfatilia.
Mrembo huyu ni mwanamitindo aliejipatia umaarufu kwa muda mfupi kwa kuonekana kwenye video kadhaa za mastaa wa bongo fleva kama “Your Mine” ya mwanamuziki Quick Racka na kupelekea watu wengi hasa magazeti ya udaku kumfatilia.
09.Gigiy
Money
amejipatia umaarufu kwa miezi ya karibuni kwani licha kupiga
picha zanazoonyesha maungo yake,ameonekana kwenye video nyingi za bongo
fleva,baadhi ya video hizo ni “I get high” ya rapper Godzila, na”Shika
adabu yako”ya Ney wa mitego,mbali kuonekana kwenye video hizo Gigy money
ametajwa mara kadhaa kwenye headline za magazeti ya udaku akidaiwa
kutoka kimapenzi na baadhi ya mastaa wa muziki.

Gigiy
Money
08.VANESSA CHITTLE.
Mrembo
huyu ambae pia ana kipaji cha muziki,amekua akihost shows mbalimbali
jijini Nairobi.Baada ya picha zake za utupu kuvuja kwenye mitandao ya
kijamii nchini Kenya alipata umaarufu na kufanya watu wengi hasa
magazeti ya udaku kuanza kumfatilia.
VANESSA CHITTLE.
07.RISPER FAITH.
Mrembo
huyu mwenye shepu matata,amekua kwenye headline za magazeti ya udaku na
mitandao ya kijamii nchini Kenya kwa skendo za kutoka kimapenzi na watu
maarufu,mbali na skendo hizo Risper amekua akidai kuwa yeye ni mkirsto
na anaamini Yesu ameokoa maisha yake.
RISPER FAITH
06.JUDITH HEARD.
Mbali
na kuonekana kwenye video ya Jose Chamilion inayofahamika kama
“Vumilia”,mrembo huyu kutoka Uganda ni mwanamitindo wa kimataifa na
mjasiriamali ambae amekua kwenye headline za vyombo vya habari na
mitandao ya kijamii nchini Uganda akidaiwa kutoka kimapenzi na vijana
aliowazidi umri.
JUDITH HEARD.
05.VERA SIDIKA.
Mrembo
huyu alijipatia umaarufu mara baada ya kuonekana kwenye video
inayofahamika kama”You Guy”ya kundi la muziki la P-Unit iliyotoka mwaka
2012,mbali na video hiyo pia alionekana kwenye video inayofahamika kama
“Carry Go” ya Nigerian musician Davido aliyomshirikisha D-Black,licha ya
kutokea kwenye video hizo Queen V kama anavyojiita ameonekana kwenye
season one ya reality show inayofahamika kama “Nairobi Diaries”.
VERA SIDIKA.
04.HUDDAH MONROE.
Mrembo
huyu kutoka Kenya alijipatia umaarufu zaidi mwaka 2015 aliposhiriki
kwenye shindano la “Big Brother Africa”,ingawa hakushinda ila Huddah
ameendelea kubaki kwenye headline za media houses,magazeti ya udaku na
mitandao ya kijamii akiwa na skendo za kutoka kimapenzi na watu maarufu
na mastaa wa muziki nchini Kenya.
HUDDAH MONROE
03.AGNESS MASOGANGE.
Mrembo
huyu mwenye shepu inayowatoa wanaume udenda,ameonekana kwenye video
kadhaa za bongo fleva kama “Masogange” ya Belle 9 ambayo ilimpatia jina
analolitumia mpaka leo,pia alionekana kwenye video inayofahamika kama
“Msambinugwa” ya Tunda man f.t Ally Kiba.mbali na kuonekana mara kadhaa
kwenye events za burudani,mrembo huyu aliingia kwenye headline za media
houses Tanzania na nnje ya nchi mwaka 2013,alipokamatwa na polisi
nchini Afrika Kusini akidaiwa kusafirisha kiasi kikubwa cha madawa ya
kulevya aina ya “Crystal methamphetamine”,Agness pia amewahi kuandikwa
mara kadhaa kwenye headline za magazeti ya udaku Tanzania akidaiwa
kutoka kimapenzi na mastaa wa muziki akiwemo Nigeria musician,Davido.
.AGNESS MASOGANGE
02.ZARINA HASSAN.
Mrembo
huyu licha ya kuwa mama wa watoto wanne,watatu wa kiume na wa kike
“Princess Tiffa”aliezaa na Mogul Bongofleva star,Diamond Platnumz,ni
mfanyabiashara anaemiliki magari kadhaa ya kifahari na nyumba katika
nchi za Uganda na Afrika kusini,mahusiano yake na Diamond yamezidi
kumfanya afatiliwe na kuzungumziwa mara kwa mara kwenye vyombo vya
habari na mitandao ya kijamii.
01.CORAZON HASSAN.
Mrembo
huyu msomi aliehitimu masomo ya sheria katika chuo kikuu cha Nairobi
nchini Kenya,ni mwanamitindo aliejipatia umaarufu mara baada ya picha
zake za utupu kuvuja kwenye mitandao ya kijamii,kama ilivyo kwa warembo
wenzake Carazon amewahi kutokea kwenye kurasa za mbele za magazeti ya
udaku nchini Kenya akihusishwa na za kutoka kimapenzi na watu maarufu
na mastaa wa muziki nchini Kenya na kumfanya azidi kuandamwa na
mapaparazi kila kukicha.

CORAZON HASSAN
0 MAONI YAKO:
Post a Comment