Wabunge wa bunge la Afrika Mashariki wametembelea mjengoni,Clouds Media Group kujionea shughuli mbalimbali zinavyofanyika.
ShyRose Bhanji ni mmoja ya wabunge
aliyekuwepo kwenye msafara huo na kusema kuwa kwa sasa hivi kuna fursa
kubwa sana hasa kwenye nchi ya Burundi ambayo ina uhaba wa walimu wa
Kiswahili na kuwataka watanzania kuitumia nafasi hiyo kama fursa kwa
walimu kujitokeza na kwenda nchini humo kufundisha na kuimarisha
Kiswahili.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment