Kuna uwezekano mkubwa, AY na Mwana FA wamefungua kesi ya masuala ya ukiukwaji wa haki miliki za kazi zao.
Mwanasheria
maarufu nchini, Alberto Msando amepost picha Instagram akiwa kwenye
mahakamu kuu ya Tanzania akiwa na rappers hao. “At the High Court of
Tanzania, Dar Es Salaam. #UsijeMjini #DakikaMoja #Tigo
#CopyrightsInfringement #stoppingwizi @aytanzania @mwanafa,” ameandika
Msando.
Kuna
uwezekano kuwa nyimbo zao Usije Mjini na Dakika Moja zikawa zimetumiwa
na kampuni bila ridhaa yao. Makosa ya kukiuka haki miliki kwenye kazi za
sanaa huadhibiwa zaidi kwa kwa faini.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment