Baada ya kutoa ngoma yake pamoja na video iliyo julikana kwa jina la Vanessa ambayo mpaka sasa bado inafanya hapa tanzania msanii Bexy wamusic ametoa wimbo kama bonus kwa mashabiki wake ambao ni rmx ya wimbo wa msanii mkongwe toka nchini uganda dk jose chamelione pia nikawaida kwa bexy wa music kutoa rmx za aina hiyo alishawahi kutoa rmzx ya wimbo wa msanii nguli toka tanzani Diamiond platnum alioimba na Qeen darling unaoitwa ukisinzia Bexy wamusic anaomba sana sapot toka kwa wadau wa music tanzania
Slotopia inakuletea michezo yenye burudani bila kikomo ndani ya Meridianbet
-
MERIDIANBET wanawaletea wapenzi wa kasino mtandaoni njia mpya ya
kupumzika na kufurahia msimu huu...
2 hours ago






0 MAONI YAKO:
Post a Comment