
Baada ya kukaa imya kwa muda mrefu sana, hatimaye mkali wa muziki wa bongo fleva aliyewahi kutamba na nyimbo kama Litha, Bembeleza, Milele na nyingine nyingi Marima Lawrence Marlaw ametuletea Video yake mpya inayoitwa Pamoja akiwa na Fundi Samweli
0 MAONI YAKO:
Post a Comment