Mwanamuziki wa Bongo Fleva toka mkoani Morogoro anayetamba sana kwa sasa na wimbo wake wa Angejua, Dayna Nyange mkali wao, ameizungunzia Video ya wimbo wake wa Angejua wimbo unaofanya vizuri sana kwa sasa, akifanya mahojiano na Bongo Beats ya Star TV, Dayna pia amezungumzia kuhusu Colabo yake na msanii toka mchini Uganda Cindy Sanyu na pia kufanya video zake katika studio za Kwetu Studio
Festival Malta 2025 inawaita, ni kwa Qualifiers wa Meridianbet
-
Fikiria hii, unashiriki qualifiers za Playtech Poker kupitia Meridianbet
Tanzania, kwa stake ya kuingia kati...
51 minutes ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment