Habari za leo mpenzi msomaji na karibu katika kurasa za Magazeti ya leo Ijumaa Mei 6, 2016. Magazeti haya ya leo yamekujia kwa hisani ya Millardayo.com
Lowassa arejesha fomu za Uraisi, atoa onyo kali
Waziri
Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, (kulia),
akikabidhi fomu za wadhamini za kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi,
(CCM), kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani…Read More
Waliokufa katika ajali MOROGORO wafikia 5
Idadi ya watu waliokufa katika ajali iliyohusisha basi na treni katika
eneo la KIBAONI wilaya ya KILOSA mkoani MOROGORO imeongezeka na kufikia
WATANO baada ya dereva wa basi kufariki wakati akipatiwa matibabu Ka…Read More
Watu wanne wamefariki katika ajali ya Treni Morogoro
Watu wanne wamefariki dunia na 21 kujeruhiwa baada ya basi aina ya Isuzu
kugonga treni ya abiria iendayo bara katika kilomita 276/0 kati ya
Stesheni za Kimamba na Kilosa mkoani Morogoro saa 11:25…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment