May 14, 2016



 

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea kwa Bingwa wa Ligi Kuu klabu ya Dar es Salaam Young Africans kucheza mchezo wake wa 29 dhidi ya Ndanda FC uwanja wa Taifa Dar es Salaam, licha ya kuwa Yanga tumezoea kumuona Taifa kama mwenyeji ila leo yeye ndio alikuwa mgeni wa Ndanda FC ambao walikubali kuchezea Taifa kama uwanja wa nyumbani.Katika mchezo huo wa kukamilisha ratiba ya Ligi Kuu klabu ya Dar es Salaam Young Africans ambao ndio Mabingwa wa Ligi Kuu kwa kutetea taji hilo mara mbili mfululizo, wamelazimishwa sare ya goli 2-2, Ndanda FC ndio walianza kufunga goli kwa mkwaju wa penati dakika ya 28 kupitia kwa Omary Mponda.Yanga walifanikiwa kusawazisha goli dakika ya 36 kupitia kwa Simon Msuva, lakini dakika ya 40 Donald Ngoma akapachika goli la pili kwa Yanga na kuwafanya Yanga kuwa mbele kwa goli 2-1, Yanga waliendelea kuutawala mchezo katika uwanja ambao umejaa mashabiki wake ambao wanasubiria kuona Kombe likabidhiwa,  kujisahau kwa Yanga kuliwafanya Ndanda FC kuchomoa goli dakika ya 80 kupitia kwa Atupele Green

  

  

Related Posts:

  • Rais mpya wa Ufaransa aapishwa   Rais mpya wa Ufaransa, Emmanuel Macron, anaapishwa hivi sasa, juma moja baada ya kupata ushindi mkubwa katika marudio ya uchaguzi mkuu wa Urais nchini humo. Alimshinda pakubwa kiongozi wa chama cha kulia Bi Marin… Read More
  • Shambulizi la uhalifu wa mtandao laathiri mataifa 99 duniani   Sambulizi la kihalifu mitandaoni lililotendeka kupitia utumizi wa vifaa vinavyoaminika kuibwa kutoka kitengo cha ujasusi nchini Marekani NSA limeathiri mashirika tofauti duniani. Kampuni ya kulinda uhalifu wa mi… Read More
  • Ashikiliwa na Polisi kwa kumuua mumewe kisa wivu   MKAZI wa Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Khadija Mbarouk (44), anashikiliwa na polisi kwa madai ya kumuua mumewe kwa sababu zilizoelezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Mtuhumiwa huyo inadaiwa alimchom… Read More
  • Lowassa achukizwa na serikali ya Dar   Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA na aliyekuwa Waziri Mkuu, Mh. Edward Lowassa amelaani vikali kitendo cha serikali ya Mkoa wa Dar es salam kuzuia kongamano la demokrasia lililopangwa kufanyika siku ya leo may 1… Read More
  • TRA Wakana kuhsu Ml 400 za Diamond Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania, (TRA), Bw. Richard Kayombo (katikati), akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina ya siku moja ya ujasiriamali na elimu ya kulipa kodi kwa waandi… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE