Taarifa inaeleza kuwa mamlaka yenye dhamana ya kudhibiti UKIMWI nchini humo, imeanza kutoa pikipiki moja kwa kila kijana ambaye atatimiza miezi sita katika awamu mbili kwenda kucheki afya zao.
Mpaka sasa ni vijana watatu tu mjini humo, waliozawadiwa pikipiki hizo baada ya kutimiza masharti ya zoezi hilo na kwamba idadi ya wanaowasili vituoni si yakuridhisha.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment